wanafunzi hao wa kiislam leo wamewatembelea kituo hicho wakiadhimisha na kutukuza mwezi mtukufu wa ramadhani ambapo waliwafaariji na kuwapatia zawadi watoto hao.jumuiaya ya TAMSA imekuwa ikihamasisha na kushajiisha wanafunzi wa shule mbalimbali kujitolea kusaidia wahitaji kwa hali na mali.jumuiya hii inayosimamiwa na Ustadh: Rusheke imekuwa ikihamasisha kusoma kwa bidii kutembelea wagonjwa na kusaidia mayatima na masikini.
6 Agosti 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 334911
ABNA inatuarifu kuwa:Jumuiya ya kiislam ya wanafunzi wa shule za upili wa jiji la Mwanza Tanzania(TAMSA) wametembelea kituo cha watoto yatima cha TULEANE.